AFYA YA UZAZI WA MWANAUME

Utangulizi Familia nyingi zina changamoto ya mfumo wa uzazi. Leo hii tunaenda kuzungumzia mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume hususani: " Upungufu wa nguvu za kiume" . Takwimu za afya zinaonesha kati ya wanaume 10 miongoni mwao 7 wana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo hili linazidi kuongezeka kwa kasi kubwa, na linawakumba sana watu wazima kuanzia umri wa miaka 35 – 75+. Kuna aina 3 za upungufu wa nguvu za kiume: - Shahawa (sperms) hazina uwezo wa kutunga mimba. - Ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa. Ikitokea umepata hamu hata kidogo shahawa zinawahi kutoka. Wengine wanapata hamu ya tendo la ndoa lakini hawatoi shahawa. - Uume kutosimama (mashoga) Chanzo cha matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume Upungufu wa nguvu za kiume sio ugonjwa, ila ni kama indicator inayoonesha kwamba kuna baadhi ya viungo ndani ya mwili wa binadamu a...