
FAHAMU KUHUSU MFUMO WA UME'NGENYAJI WA CHAKULA NA TATIZO LA KUPATA CHOO (COSTIPATION) Je wajua kwamba vyakula tunavyokula inatakiwa viwe na fiber nikimaanisha nyuzinyuzi?( Mbogamboga na Matunda ni mfano vyakula vyenye fiber). * ukiwa huna fiber mwilini ni rahisi - kutokupata choo ( constipation) - kunenepa ovyo ( kwasababu ya kula hovyovyo) na uzito umekutwa ni janga la kitaifa - kupata gout ( magoti kuwaka moto - rahis kupata kisukari ( causes kubwa ni constipation) - kupata cancer - high blood pressure,( ikiwemo kupooza * mawe kwenye kongosho na kibofu) * Bawasiri ( kupata Nyama sehemu ya haja kubwa Fahamu madhara ya bawasiri @ ni rahisi kupata cancer ya...