FAHAMU KUHUSU MFUMO WA UME'NGENYAJI WA CHAKULA NA TATIZO LA KUPATA CHOO (COSTIPATION)
Je wajua kwamba vyakula tunavyokula inatakiwa viwe na fiber nikimaanisha nyuzinyuzi?( Mbogamboga na Matunda ni mfano vyakula vyenye fiber).
* ukiwa huna fiber mwilini ni rahisi
- kutokupata choo ( constipation)
- kunenepa ovyo ( kwasababu ya kula hovyovyo) na uzito umekutwa ni janga la kitaifa
- kupata gout ( magoti kuwaka moto
- rahis kupata kisukari
( causes kubwa ni constipation)
- kupata cancer
- high blood pressure,( ikiwemo kupooza
* mawe kwenye kongosho na kibofu)
* Bawasiri ( kupata Nyama sehemu ya haja kubwa
Fahamu madhara ya bawasiri
@ ni rahisi kupata cancer ya utumbo
@ ulcers (system nzima inashindwa kutoa uchafu)
@ appendex
* ujauzito ni sababu nyingine ya mtu kutokupata choo .
SULUHISHO:
* Kama unakula mara tatu kwa siku basi chooni Nenda mara tatu pia ( choo kitoke na fiber , nyuzinyuzi na cha kushine)
* kula matunda na mboga mboga ( matunda kula peke yake na Mbogamboga peke yake au chakula
Usile chakula pamoja na matunda kwa wakati mmoja
Kama unataka cancer endelea kula matunda na chakula kwa pamoja
* kunywa maji ya kutosha ( angalizo ,, usipendelee kunywa maji baada ya kula, kunywa maji kabla ya kula). Hii itakusaidia kutokupata tatizo la constipation
* fanya mazoezi.
Kutokufanya mazoezi inapelekea pia watu wengi kupata tatizo la choo
* punguza msongo wa mawazo
Kumbuka mwili wako hauna tofauti na gari so kila kiungo chako mwilini kinategemeana na kingine piaa jukumu la kunywa maji,, kula mbogamboga na matunda, kulala vizuri na kufanya mazoezi ni jukumu lako
Na mwisho kabisa tafuta njia ya my supplements (nikimaanisha mbadala wa kutumia virutubusho ) kwa sababu vyakula tunavyokula havijitoshelezi na havina virutubusho vya kutosha.
Kwa mawasiliano zaidi whatsup or call
+255 714190589

Comments
Post a Comment